Gefundene Einträge
Buch | Kapitel | Vers | Text |
Apostelgeschichte | 3 | 26 | Basi, ilikuwa kwa ajili yenu kwanza kwamba Mungu alimfufua mtumishi wake, alimtuma awabariki kwa kumfanya kila mmoja wenu AACHANE kabisa na maovu yake." |
1 Timotheus | 1 | 4 | Waambie wAACHANE na zile hadithi tupu na orodha ndefu za mababu, ambazo huleta tu ubishi, wala haviwajengi watu katika mpango ujulikanao kwa imani. |
2 Timotheus | 2 | 19 | Lakini msingi thabiti uliowekwa na Mungu uko imara, na juu yake yameandikwa maneno haya: "Bwana anawafahamu wale walio wake," na "Kila asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima AACHANE na uovu." |
Seite:
1