Gefundene Einträge
Buch | Kapitel | Vers | Text |
Matthaeus | 18 | 34 | "Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi AADHIBIWE mpaka hapo atakapolipa deni lote. |
Apostelgeschichte | 25 | 16 | Lakini mimi niliwajibu kwamba si desturi ya Waroma kumtoa mtu AADHIBIWE kabla mshtakiwa hajakutana na washtaki wake ana kwa ana na kupewa fursa ya kujitetea kuhusu hayo mashtaka. |
Apostelgeschichte | 26 | 11 | Mara nyingi niliwafanya wAADHIBIWE katika masunagogi yote nikiwashurutisha waikane imani yao. Hasira yangu kwao ilikuwa kubwa hata nikawasaka mpaka miji ya mbali. |
Seite:
1